RAIS MSTAAFU BENJAMIN MKAPA AKABIDHI NYUMBA 50 ZA WATUMISHI WA AFYA KATIKA MIKOA YA SIMIYU, KAGERA NA GEITA
![]() |
Add caption |
![]() |
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akizungumza na wananchi wa Mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita. |
![]() |
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akizungumza na wananchi wa Mikoa ya Geita, Simiyu na Kagera katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita. |
![]() |
Rais John Magufuli akimshukuru Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kukabidhi nyumba hizo 50 zitakazotumika katika Sekta ya Afya katika mikoa ya Kagera, Simiyu na Geita. |
![]() |
Rais John Magufuli akiagana na Mama Anna Mkapa. |
![]() |
Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa akiangalia hotuba yake kabla ya kuhutubia wananchi mbalimbali katika uwanja wa michezo wa Mazaina Chato mkoani Geita. |
![]() |
Rais John Magufuli akiwasalimia wananchi wakati akiwasili katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita. |
![]() |
Kikundi cha ngoma
za asili cha Chato kikitumbuiza katika uwanja wa Mazaina Chato mkoani Geita.
|
No comments