RAIS MAGUFULI AZINDUA MRADI WA MAJI NGURUKA-UVINZA KIGOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA TABORA KWA ZIARA YA KISERIKALI

Rais John Magufuli mapema leo asubuhi Julai 23, 2017 akihutubia wananchi wa Kijiji cha Luchugi-Uvinza mkoani Kigoma akiwa njiani kuelekea mkoani Tabora kuanza ziara ya kiserikali mkoani humo.

Rais John Magufuli akisisitiza jambo
akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili
kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea Mkoani
Tabora kuanza ziara ya kiserikali mkoani humo, Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akisisitiza jambo
akiwa kwenye mikutano yake mbalimbali ya njiani aliyosimma uili
kuzungumza na wananchi wa vijiji vya mkoa wa Kigoma akielekea mkoani
Tabora kuanza ziara ya kiserikali mkoani humo, Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akimsikiliza
mwenyekiti wa kijijji cha Uvinza, Nilisi Ntabai alipokuwa
akieleza kero ya maji ya eneo hilo la Uvinza ikiwemo kusimama kwa
kiwanda cha chumvi Uvinza ambacho kilikuwa tegemeo kwa wananchi wa eneo
hilo, Rais amewaahidi wananchi hao kumtuma Waziri wa Viwanda
na Biashara kushughulikia tatizo hilo. Julai 23,2017.


Rais John Magufuli akikagua tanki la kuhifadhia maji kutoka mto Maragharasi kabla ya kuweka jiwe la
msingi la mradi huo utakaohudumia wananchi wa Nguruka Uvinza mkoani
Kigoma. Kushoto kwa Rais ni Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge, leo.

Rais John Magufuli akiwa ameambatana na
Waziri wa Maji Mhandisi Gerson Lwenge wakishuka ngazi mara baada ya Rais kukagua ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji kwa ajili ya wananchi
wa Nguruka kabla ya kuhutubia wananchi leo Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akipeana mkono na Waziri wa Maji, Mhandisi Gerson Lwenge mara bada ya kuweka jiwe la msingi
la mradi wa maji Nguruka, leo Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akihutubia wananchi
wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma, wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji kwa ajili ya wananchi wa Nguruka leo
Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akiwasalimia mamia
ya wananchi wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma baada ya kuhitimisha
kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi laujenzi wa tanki la kuhifadhia maji kwa ajili ya wananchi wa Nguruka, leo Julai 23,2017.

Rais John Magufuli akiwasalimia mamia
ya wananchi wa Nguruka Uvinza mkoani Kigoma baada ya kuhitimisha
kuwahutubia wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji kwa ajili ya wananchi wa Nguruka, leo Julai 23,2017.
No comments