Mugabe ampa mkwe wake zawadi ya dola 60,000
Robert Mugabe. (AFP)
Alisema
kuwa zawadi hiyo ni ya kumshukuru Junior Gumbochuma ambaye ni dadake
mkubwa wa mke wake Mugabe, Grace kwa kusaidia watoto wa Mugabe.
Bi Gumbochumba ni mhubiri na Herald linaripoti kuwa rais alitumia fursa hiyo ya sherehe za kuzaliwa, kukosoa wahuribu wa Pentecostal ambao hupata pesa kutoka kwa waumini kwa kubuni majaabu ya uwongo.
Uchumi wa Zimbawe kwa sasa unapitia changamoto wakati nchin hiyo inakumbwa na uhaba wa pesa kutokana na uhaba wa noti za dola ambazo ndizo hutumika nchini humo.
Rais wa Zimbawe
Robert Mugabe amempa mkwe wake zawadi ya dola 60,000 wakati wa siku yake
ya kuzaliwa kwa mujibu wa gazeti la serikali la Herald.

No comments