Header Ads

ad

Breaking News

Matukio mbalimbali ya Halima Mdee katika picha akiwa Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaa leo

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Kushoto), akiwa chini ya ulinzi wa Askari katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana, akisubiri kusomewa shitaka linalomkabili, Halima anatuhumiwa kwa kutoa lugha za matusi kwa Rais John Magufuli wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni.

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (Katikati) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe katika Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana kabla ya kusomewa shitaka linalomkabili, Halima anatuhumiwa kwa kutoa lugha za matusi kwa Rais John Magufuli wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni.
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (katikati) akiwashukuru wafuasi wa Chadema wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa huru kwa dhamana. Halima anatuhumiwa kwa kutoa lugha za matusi kwa Rais John Magufuli wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni. 
Mbunge wa Kawe, Halima Mdee (katikati) akiwashukuru wafuasi wa Chadema wakati akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana baada ya kuachiwa huru kwa dhamana. Halima anatuhumiwa kwa kutoa lugha za matusi kwa Rais John Magufuli wakati akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni. (PICHA ZOTE NA VENANCE NESTORY)

No comments