Header Ads

ad

Breaking News

WANAHABARI WA ISRAEL WAVUTIWA NA HIFADHI YA GOMBE WAAHIDI KUITANGAZA KWAO

Kundi la waandishi kumi wa habari kutoka nchini Israel wakiwa katika hifadhi ya Taifa ya Gombe hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA). (PICHA NA HAMZA TEMBA– WIZARA YA MALIASILI NA UTALII).

Kundi la waandishi 10 wa habari kutoka nchini Israel wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Gombe hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Mhifadhi wa hifadhi ya Taifa ya Gombe, Elihuruma Wilson (kushoto) akitoa maelezo mafupi kwa kundi la wanahabari kumi kutoka nchini Israel walipotembelea hifadhi hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA)..
Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Paschal Shelutete (wa pili kulia), akionesha kifaa maalum cha kupigia picha za angani (drone) kilichorushwa na mmoja wa mwanahabari wa Israel walipotembelea hifadhi hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Kundi la waandishi kumi wa habari kutoka nchini Israel wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Kigoma katika ziara yao ya hivi karibuni kutembelea hifadhi ya Taifa ya Gombe kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Wanahabari wa Israel wakipiga picha Sokwe wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe walipotembelea hifadhi hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa ajili ya kuvitangaza nchini kwao ikiwa ni mkakati wa Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Watalii wa kutoka Israel wakioneshana sokwe kwenye mbuga hiyo.
Sokwe wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakiwa katika mazingira yao ya asili katika hifadhi hiyo. 
Sokwe wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakiwa katika mazingira yao ya asili katika hifadhi hiyo. 
Sokwe wa Hifadhi ya Taifa ya Gombe wakiwa katika mazingira yao ya asili katika hifadhi hiyo. 

No comments