Header Ads

ad

Breaking News

Real Madrid yaifuta Juventus fainali ya Klabu Bingwa Ulaya

Cristiano Ronaldo was happy to silence the crowd after seeing his Isco bundle the ball over the line inside the six-yard boxCristiano Ronaldo wa Real Madrid akiwatuliza mashabiki wa Atletico Madrid, baada ya Isco kuifungia bao katika mchezo huo.
 
Mabingwa watetezi wa Klabu Bingwa Ulaya, Real Madrid imetinga fainali ya michuano hiyo baada ya kusonga mbele kwa jumla ya mabao 4-2, lakini katika mechi iliyopigwa usiku wa kuamkia leo imechapwa mabao 2-1.
 
Bao la kwanza la Atletico lilifungwa dakika 12 na Saul Niguez, kabla ya Antoine Griezmann kuipatia bao la pili kwa mkwaju wa penalti dakika ya 16.
 
Mabao hayo yaliizindua Real Madrid ambapo dakika ya 42, ilijipatia bao lake lililofungwa na Isco, bao lililowamaliza nguvu wenyeji wa mchezo huo waliokuwa wakicheza mbele ya mashabiki wao kwenye Uwanja wa Estadio Vicente Calderon jijini Madrid.
 
Kwa ushindi huo, Real Madrid wataumana na Juventus ya Italia iliyoiondosha Monaco ya Ufaransa kwa jumla ya mabao 4-1.

Saul Niguez rises above Cristiano Ronaldo to score his ninth goal of the season and head Atletico Madrid in front on the night
Saul Niguez wa Atletico Madrid akiruka juu zaidi ya Cristiano Ronaldo wa Real Madrid.
Real Madrid keeper Keylor Navas will have been disappointed to concede a soft penalty but made amends later on the nightKipa wa Real Madrid, Keylor Navas akijaribu kuufuata mpira wa penalti uliopigwa na Antoine Griesmann wa Atletico Madrid usiku wa kuamkia leo jijini Madrid. Atletico ilishinda mabao 2-1, lakini imeondoshwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 4-2.
Griezmann showed his relief after seeing his somewhat fortuitous penalty effort ended up in the back of the net to make it 2-0
Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa mkwaju wa penalti.
Cristiano Ronaldo went into the game off the back of two successive Champions League hat-tricks but he was kept quietNyota wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akijaribu kumtoka mmoja wa mabeki wa Atletico Madrid.
Striker Karim Benzema showed brilliant close control on the byline to somehow evade three Atletico Madrid defenders 
Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akionesha ufundi wake kwa kuwatoka mabeki watatu wa Atletico Madrid katika mchezo wa nusu fainali Klabu Bingwa Ulaya uliopigwa usiku wa kumakia leo jijini Madrid.
The former Malaga midfielder Isco was the fastest to react to Jan Oblak palming Kroos' shot back into the six-yard box
Kiungo wa zamani wa Malaga, Isco akimfunga kipa Jan Oblak baada ya kupangua mpira uliopigwa na Kroos ndani ya meta sita.
Isco diverted the ball over the line from close range after Toni Kroos' shot from Karim Benzema's cutback was kept outIsco (kulia), akishangilia baada ya kuifungia tiomu yake ya Real Madrid bao katuika mchezo ambao ulimalizika kwa wao kuchapwa mabao 2-1, huku Antoine Griezmann na Jose Gimenez wakishangaa. Hata hivyo wamefuzu kucheza fainali za Klabu Bingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 4-2.
Real Madrid managed to continue their excellent record of scoring with Isco's strike making it 61 consecutive games
Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia ushindi dhidi ya Atletico Madrid usiku wa kuamkia leo. Madrdi pamoja na kufungwa mabao 2-1, lakini imesonga mbele kwa jumla ya mabao 4-2.
 
Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia baada ya Isco kuifungia timu yake bao ugenini na kufanikiwa kutinga fainali ya Klabu Bingwa Ulaya.
Benzema put on a clinic in a central striker role and he was close to extending Real's lead with a header from Marcelo's cross
Karim Benzema wa Real Madrid akiunganisha kwa kichwa mpira wa krosi uliopigwa na Marcelo.
Ronaldo signals that he feels he was in an onside position and did not touch the ball after Luka Modric's shot found the netCristian Ronaldo akishangaa kupigiwa filimbi ya kuotea, kabla ya Luka Modric kuupiga mpira.
Atletico manager Diego Simeone was a bundle of energy once more on the sidelines as he urged his side on to victory
Kocha wa Atletico, Diego Simeone akishangaa
Real Madrid manager Zinedine Zidane cuts a concerned figure as he watches his side concede two goals inside 16 minutes
Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane akifuatilia mchezo wa timu yake dhidi ya Atletico Madrid.
Real Madrid fans made the short trip across town in high spirits after their 3-0 victory in the first leg at the Santiago Bernabeu
Mashabiki wa Real Madrid wakishangilia ushindi.

No comments