MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA ISHIRINI NA MBILI MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MEI 11, 2017.
Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akiongoza
kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Mei 11, 2017.(Picha Zote na
Daudi Manongi- Dodoma MAELEZO, Dodoma) |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali Mbalimbali ya Wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. |
Mbunge wa Viti
Maalum Mhe.Amina Mollel(CCM) akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
|
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof,Palamagamba Kabudi kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI), George Simbachawene akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. |
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais(TAMISEMI), Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. |
Wabunge wakijadili
jambo katika kipindi cha maswali na majibu katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
|
Naibu Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge
katika kikao cha Ishirini na mbili cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
|
Mbunge wa Same
Magharibi(CCM), David Mathayo David akiuliza swali katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017.
|
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk.Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na mbili cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11, 2017. |
Wabunge wakijadili jambo |
No comments