WAZIRI SIMBACHAWENE AFANYA ZIARA KUKAGUA USAFI WA MAZINGIRA MJINI DODOMA
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George
Simbachawene akiambatana na Afisa Masoko Manispaa ya Mji wa Dodoma,
Stephen Maufi katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika
maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George
Simbachawene na Naibu Katibu Mkuu Afya , Dkt. Zainabu Chaula wakiangalia
mfereji wa maji machafu uliopo katika Soko la Mwembeni katika ziara
fupi ya kutembelea na
kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George
Simbachawene akifurahia ubunifu wa uhifadhi wa mbogamboga na matunda
katika ziara fupi ya kutembelea na kukagua usafi katika maeneo
mbalimbali ya mji wa
Dodoma.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George
Simbachawene akizungumza na mmoja wa wafanya biashara katika soko la
Mwembeni Bw. Mjahidina Hassani katika ziara fupi ya kutembelea na
kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu Afya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-
TAMISEMI) , Dkt. Zainabu Chaula akisisitiza juu ya Uhamisho wa wafanya
biashara ndogo ndogo kwenda Uwanja wa Barafu katika ziara fupi ya
kutembelea na kukagua usafi katika maeneo mbalimbali ya mji wa Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. George Simbachawene akiongea na waandishi wa habari
kuhusu
tamko la utekelezaji na ufatiliaji wa ugonjwa wa Kipindupindu katika
Mkoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa Ofisini kwake, Dodoma.
Picha na: TAMISEMI.
No comments