WAZIRI NAPE AWATAKA MAAFISA MAWASILIANO SERIKALINI KUTENDEA HAKI SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI NA SHERIA YA HAKI YA KUPATA TAARIFA
Mkuu wa Wilaya ya Bahi
Bi.Elizabeth Kitundu akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kikao kazi cha 12
cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Nuru Milao akiongea kabla ya
kumkaribisha mgeni rasmi Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo
Mhe.Nape Nnauye kufungua rasmi Kikao kazi cha 12 cha Maafisa
Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma tarehe 14 Machi
2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Nnauye akizungumza na Maafisa Mawasiliano wa
Serikali wakati akifungua kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa
Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
Mwenyekiti wa Chama cha
Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) akichangia jambo wakati wa Kikao
kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani
Dodoma.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa
Kikao kazi cha 12 cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika
Mkoani Dodoma.Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Nuru
Milao,Kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Bahi Bi.Elizabeth
Kitundu,Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Dkt.Hassana Abbas na
Mwenyekiti wa TAGCO Bw.Innocent Mungy.
Maafisa Mawasiliano wa
Serikali kutoka Wizara,Taasisi ,Halmashauri,Wakala na Mashirika ya
Umma,Tamisemi na Idara zinazojitegemea wakimskiliza kwa makini Waziri wa
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Nnauye(hayupo Pichani)
wakati akifungua Kikao kazi cha 12 cha Maafisa hao kinachofanyika
Mkoani Dodoma.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo Mhe.Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa
Mawasiliano kutoka Idara ya Habari-MAELEZO wakati wa kikao cha 12 cha
Maafisa hao wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma. Kulia kwake ni
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi.Nuru Milao,Kushoto kwake ni Mkuu wa
Wilaya ya Bahi Bi.Elizabeth Kitundu,Mkurugenzi wa Idara ya Habari
Maelezo Dkt.Hassana Abbas na Mwenyekiti wa TAGCO Bw.Innocent Mungy.
Mkurugenzi wa Idara ya
Habari-MAELEZO Dkt Hassan Abbas akichangia jambo wakati wa kikao cha 12
cha Maafisa Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika Mkoani Dodoma.
Picha na D
No comments