WAZIRI MWIGULU NCHEMBA AFANYA MZUNGUMZO NA KIONGOZI WA KIKOSI CHA MIPAKA WA NCHINI UINGEREZA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka
kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd, wakati kiongozi huyo na ujumbe
wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Uingereza na
Tanzania. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (katikati) akimsikiliza Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka
kutoka nchini Uingereza, Richard Lloyd (wapili kulia), wakati kiongozi
huyo na ujumbe wake walipomtembelea Waziri Mwigulu, jijini Dar es Salaam
leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya
Uingereza na Tanzania. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Kikosi cha Mipaka

No comments