WAZIRI MWIGULU AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA, JIJINI DAR
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya
Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga, wakati
Kamishna huyo alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es Salaam leo,
kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya dawa za kulenya nchini.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (kulia) akimuaga Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na
Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, Rogers Sianga, mara baada ya
kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika ofisini kwa Waziri huyo, jijini
Dar es Salaam leo.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments