VIDEO: Anglikana wamefanya ibada ya kutwaa Jimbo kutoka kwa Askofu Mokiwa
Askofu mkuu wa kanisa la Anglikana Dr. Jacob
Chimeledya amesema ibada iliyofanyika leo March 12 2017 ilikuwa ni
ibada ya kutwaa Dayosisi ambayo ilikuwa chini ya Askofu Mokiwa ambaye
alisimamishwa baada ya kuwepo kwa mgogoro ndani ya kanisa hilo.
Dk.Chimeledya
amesema kuwa baada ya ibada hiyo Dk. Valentino Mokiwa hana mamlaka tena
katika dayosisi ya Dar es salaam baada Jarome Napella kuchaguliwa kuwa
kaimu kasisi mkuu wa dayosisi ya kanisa la Anglikana DSM na ndio
atakuwa msimamizi wa jimbo hilo mpaka uchaguzi wa askofu mkuu
utakapofanyika.
VIDEO: Aliyekaimu nafasi ya askofu Mokiwa azungumza baada ya kupewa kazi hiyo,
No comments