RAIS Dk.SHEIN APOKELEWA INDONESIA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mhe,
Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia mara
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Nchi hiyo akiwa na Mkewe Mama
Mwanamwema Shein pamoja na Mawaziri na Maafisa aliofuatana nao,Rais
Shein anamuwakilisha Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya
ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na
Ikulu.] 05/3/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Miongoni mwa
Viongozi wakuu Nchini Indonesia Airlangga Hartarto mara alipowasili
katika uwanja wa Ndege wa Nchi hiyo akiwa na Mkewe Mama Mwanamwema Shein
pamoja na Mawaziri na Maafisa aliofuatana nao,Rais Shein anamuwakilisha
Rais John Pombe Magufuli katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana
na Bahari ya Hindi IORA Nchini Indonesia, [Picha na Ikulu.] 05/3/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na mwenyeji wake Mhe,
Airlangga Hartarto miongoni mwa Viongozi wakuu Nchini Indonesia pamoja
na Viongozi wa wengine wa Nchi hiyo pamoja na Ujumbe aliofuatana nao
wakiwa katika ukumbi wa VIP wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno
-Hatta Jakarta Nchini Indonesia alipowasili nchini humo kuhudhuria
Mkutano wa Jumuiya ya Nchi zinazopakana na Bahari ya Hindi IORA Nchini
Indonesia akimuwakilisha Rais John Pombe Magufuli , [Picha na Ikulu.]
05/3/2017.
No comments