Header Ads

ad

Breaking News

MWENYEKITI WA CCM DK. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA, WAFANYA MABADILIKO YA SUNAMI

1
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akifungua Mkutano mkuu maalum wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma leo kwa ajili ya kupitisha mabadiliko madogo ya 16 ya Katiba ya chama hicho ili kuleta tija ya utendaji wa chama na kuisimimia serikali kwa ufanisi mkubwa ambapo idai ya wajumbe katika vikao vya ngazo zote zitapungua na kupunguza vikao pia.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-FULLSHANGWE-DODOMA)

2
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akimshukuru Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Dk. Jakaya Kikwete katika mkutano  mkuu wa CCM unaofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete  mjini Dodoma leo
3
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza katika mkutano huo.
4
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dk. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana mara baada ya kuingia ukumbini kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.
5
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania akiimba wimbo pamoja na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi na kushoto ni Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
6
NAPE
Wajumbe kutoka mkoa wa Lindi kutoka kulia ni Mama Salma Kikwete , Nape Nnauye na Mzee Ali Mchumo wakiwa katika mkutano huo.
8
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kutoka Geita Joseph Kasheku Msukuma akiwa na wajumbe wenzake kwenye mkutano mkuu wa CCM.
9
Wajumbe kutoka Mkoa wa Iringa (kushoto), ni Salim Abri Asas na Fredrick Mwakalebela wakiwa katika mkutano huo.
10
Mjumbe Christopher Ole Sendeka na wajumbe wenzake.
11
Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu (kushoto), akifuatilia matukio katika mkutano huo.
12
Kundi la TOT likitumbuiza katika mkutano huo.
13
Wajumbe kutoka shirikisho la vyuo vikuu.
15
Mke wa Rais Mama Janet Magufuli akiwasili kwenye ukumbi wa mkutano.
16
Wasanii wakiwa katika mkutano huo kulia ni Banana Zorro na kushoto ni Thea.
17 18 19
Mwimbaji wa taarab, Siza Mazongela na waimbaji wenzake wakifanya vitu vyao jukwaani.
20
Mjumbe kutoka Tabora, Hussein Bashe akifurahia jambo na mjumbe mwenzake.
21
Mjumbe kutoka Mkoa wa Singida, Miraji Mtaturu na wajumbe wenzake wakiwa katika mkutano huo.
22
Kikundi cha utamaduni kutoka mkoani Dodoma kikitumbuiza.
23
Mjumbe Bagwanji Meisuria kutoka Zanzibar akicheza muziki wakati TOT ikitumbuiza.
24
Wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa katika mkutano huo
25
Wajumbe wa mkutano mkuu wakiwa katika mkutano huo.

No comments