MFUMO WA MANUNUZI YA UMEME KUPITIA LUKU KUZIMWA JUMAPILI HII
NA K-VIS
BLOG
BLOG
SHIRIKA la Umeem Tanzania, (TANESCO), linawataarifu
wateja wake na umma kwa ujumla kuwa Jumapili Machi 19, 2017 kuanzia saa 4 usiku
mfumo wa ununuzi wa umeme kupitia LUKU utazimwa hadi Jumatatu Machi 20, 2017.

Taarifa ya TANESCO iliyotolewa leo Machi 17, 2017 na
kusambazwa kwa vyombo vya habari imesema, lengo kuboresha mfumo huo wa LUKU
katika kuhifadhi taarifa za Wateja, (Database).

Taarifa hiyo iliyotolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO
Makao Makuu pia imesema uboreshwaji wa mfumo huo utasaidia katika manunuzi ya
umeme kupitia LUKU.

Aidha TANESCO imewaomba Wananchi hususan wateja wake ,
kufanya manunuzi ya LUKU ya kutosha kabla ya saa 4 usiku, Jumapili, na
inawaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.

No comments