MBUNGE WA JIMBO LA TANGA ATEMBELEA UJENZI WA MFEREJI WA MAGAONI UNAOJENGWA KUKABILIANA NA ADHA YA MAFURIKO
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati jeupe wa kwanza kulia akiangalia
namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua
unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku aliyevaa shati
jeupe wa kwanza kulia akiangalia namna uchimbaji wa mfereji wa kupitishia maji wakati wa mvua unavyochimbwa wakati alipofanya ziara ya kuutembelea leo

Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa kwanza kulia
akisisitiza jambo kwa mafundi wanaoendelea na ujenzi wa mfereji wa
magaoni kwa ajili ya kupitishia maji ya mvua ikiwa ni mpango madhubuti
wa kukabiliana na adha ya mafuriko nyakati za mvua
Kazi zikiendelea kama inayoonekana kwenye eneo hilo
Mbunge
wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku wa tatu kutoka kushoto
akisisitiza jambo kwa msimamizi wa mradi huo Ephahim Lucas wakati
alipotembelea ujenzi wa mfereji huo ili kuona kasi yake ya utendaji kama
inakidhi
viwango.
viwango.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku akitazama namna mafundi wakiendelea na uchimbaji wa
mfereji mkubwa kwa ajili ya kupitisha maji ya mvua ikiwa ni mpango
mkakati wa kuondokana na adha ya mafuriko nyakati za
mvua

Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama ujenzi wa mfereji huo kulia ni
msimamizi wa mradi huo
(CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitazama ujenzi wa mfereji huo kulia ni
msimamizi wa mradi huo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye mfereji huo kwa ajili ya kuukagua
wakati alipofanya ziara ya kushtukiza mapema leo
Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye mfereji huo kwa ajili ya kuukagua
wakati alipofanya ziara ya kushtukiza mapema leo
Mbunge wa Jimbo la Tanga
(CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya
kuukagua mapema leo
(CUF) Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya
kuukagua mapema leo
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaji Mussa Mbaruku akitoka kwenye mfereji huo mara baada ya kuukagua mapema leo

Alhaji Mussa Mbaruku kulia akiwa na msimamizi wa mradi huo akikagua
baadhi ya maeneo ili kuona namna unavyojengwa

Alhaji Mussa Mbarukuakiwa na msimamizi wa mradi huo wakitembelea kwenye
mfereji ambao utatumika kupitisha maji yatakayojaa kwenye makazi ya
wananchi wakati wa mvua

Alhaji Mussa Mbaruku akiingia kwenye moja ya chemba zilizopo kwenye
ujenzi wa mfereji huo

Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF),
Alhaji Mussa Mbaruku akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa
mradi huo baada ya kuutembelea leo kuona namna ujenzi wake
unavyoendelea.

Habari kwa Hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha.
Kijamii ya Tanga Raha.
No comments