KUNDI LA TOT NA AMSHA AMSHA YA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Tanzania Dk. Tulia Ackson akizungumza na wajumbe wenzake kutoka mkoa
wa Mbeya, Sauli Amon na Charles Mwakipesile (katikati), wakati
alipowasili kwenye ukumbi wa CCM Convetion Centre mjini ambako Mkutano
Mkuu wa CCM unafanyika kupitisha mabadiliko makubwa ya katiba ya CCM
maamuzi makubwa ya kuwafukuza uanachama baadhi ya waliokuwa wanachama wa
chama Mapinduzi na baaadhi kupewa onyo kali.(PICHA NA JOHN BUKUKU WA
FULLSHANGWE-DODOMA)
Baadhi ya mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakiwa katika mkutano huo.
Halima Dendegu Mbjumbe kutoka mkoa wa Mtwara akiwa na wajumbe wenzake.
Parseko Kone kulia na wajumbe wenzake kutoka mkoa wa Manyara.
Kikundi cha Taarabu kutoka Zanzibar kikitumbuiza katika mkutano huo.
Baadhi ya wajumbe wakicheza
Malkia wa Mipasha Khadija Omar Kopa akifanya vitu vyake jukwaani
Husna Mwilima akimwelekeza jambo na mjumbe mwenzake kutoka mkoa wa Kigoma.
Ndugu Jenista Mhagama na wajumbe wenzake kutoka mkoa wa Ruvuma wakiwa katika mkutano huo.
No comments