KAMPUNI YA BIN SLUM YAKABIDHI MSAADA WA MATAIRI 12 KWA HUDSON KAMOGA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MBULU MKOANI MANYARA
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Hudson Kamoga (kulia), akimkabidhi cheti cha kutambua
mchango wa kampuni ya Bin Slum kwa mchango wake katika maendeleo ya
wilaya ya Mbulu baada ya kampuni hiyo kupitia kwa meneja Mauzo wake, Salum Aljabiry kumkabidhi moja ya matairi 12 ya magari madogo kutoka
kwa Kampuni ya hiyo jijini Dar es salaam .Kampuni ya Bin Slum imetoa
msaada huo kwa Halmashauri ya wilaya ya Mbulu ili kuunga mkono juhudi
za Rais John Magufuli.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Mbulu, Hudson Kamoga kulia akipokea moja ya matairi 12 ya
magari madogo kutoka kwa Salim Aljabiry, Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bin
Slum. Kampuni hiyo imetoa msaada huo kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu
ili kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli.
Baadhi ya matairi yanayouzwa na kampuni ya Bin Slum, Chang’ombe jijini Dar es Salaam.
No comments