KALALA JR WA TWANGA ANUSURIKA KUFA KWA AJALI MBAYA YA GARI
Mwimbaji tegemeo wa Twanga Pepeta,
Kalala Jr jana usiku alipata ajali mbaya ya gari wakati akiwa njiani kurejea
Dar es Salaam akitokea Dodoma.
Kalala alikuwa kwenye gari Toyota Harrier ya
mbunge wa Nyamagana Mh. Mabula ambapo ikiwa na watu watano ndani yake ikapata
ajali mbaya maeneo ya Mvumero majira ya saa 3 usiku.
Mwimbaji huyo na
mheshimiwa Mbunge walipata maumivu madogo lakini watu wengine wawili waliumia
vibaya.
Wote akiwemo Kalala walikimbizwa hospitali ya mkoa wa Morogoro na
kupata matibabu. Akiongea na Saluti5 kutoka hospitalini hapo asubuhi hii,
Kalala Jr akasema chanzo cha ajali ni trekta iliyoingia barabarani ghafla bila
viashiria vyoyote.
“Tuligonga trekta ambayo haikuwa na taa zozote na gari yetu
ikapinduka na kuharibika vibaya sana,” alisema Kalala ambaye amefafanua kuwa
ana maumivu ya mkono na kifua.
Kalala alikuwa na bendi yake ya Twanga Pepeta
ndani ya Dodoma ambapo ilifanya maonyesho mawili Jumamosi na Jumapili.
Toyota Harrier ikiwa imeharibika
vibaya baada ya ajali
|
Kalala
Junior alipokuwa kifanyiwa vipimo vya kifua |
KALALA JR WA TWANGA
ANUSURIKA KUFA KWA AJALI MBAYA YA GARI
A+
A-
Print
Email
Mwimbaji tegemeo wa Twanga Pepeta, Kalala Jr jana usiku alipata ajali
mbaya ya gari wakati akiwa njiani kurejea Dar es Salaam akitokea Dodoma.
Kalala alikuwa kwenye gari Toyota Harrier ya mbunge wa Nyamagana Mh.
Mabula ambapo ikiwa na watu watano ndani yake ikapata ajali mbaya maeneo
ya Mvumero majira ya saa 3 usiku.
Mwimbaji huyo na mheshimiwa Mbunge walipata maumivu madogo lakini watu
wengine wawili waliumia vibaya.
Wote akiwemo Kalala walikimbizwa hospitali ya mkoa wa Morogoro na kupata
matibabu.
Akiongea na Saluti5 kutoka hospitalini hapo asubuhi hii, Kalala Jr
akasema chanzo cha ajali ni trekta iliyoingia barabarani ghafla bila
viashiria vyoyote.
“Tuligonga trekta ambayo haikuwa na taa zozote na gari yetu ikapinduka
na kuharibika vibaya sana,” alisema Kalala ambaye amefafanua kuwa ana
maumivu ya mkono na kifua.
Kalala alikuwa na bendi yake ya Twanga Pepeta ndani ya Dodoma ambapo
ilifanya maonyesho mawili Jumamosi na Jumapili.
Toyota Harrier ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali
Mmoja wa watu walioumia sana
Kalala alipokuwa kifanyiwa vipimo vya kifua
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2017/03/kalala-jr-wa-twanga-anusurika-kufa-kwa.html
Copyright © saluti5

No comments