MATUKIO MBALIMBALI KUHUSU OFISI YA WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA JANUARI 2017
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akijibu hoja za wabunge mbalimbali waliochangia wakati wa kujadili
Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi Bungeni Dodoma Januari 6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
(kulia) akizungumza na baadhi ya wabunge mara baada ya kuhairishwa kwa
Mkutano wa Bunge Mjini Dodoma Januari 6, 2017 katikati ni Mbunge wa
Singida Mhe. Ashyrose Matembe.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akiteta jambo na Mhe.Hawa Ghasia nje ya viwanja vya bunge Dodoma Januari
6, 2017.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Kazi, Ajira na Vijana), Mhe. Antony Mavunde (kulia) akizungumza na Mhe.
Machano Othman nje ya ukumbi wa Bunge Dodoma mara baada ya kupitishwa
kwa Taarifa ya Kamati ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Januari 6, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na
Muungano Mhe.January Makamba baada ya kupitishwa kwa Taarifa ya Kamati
ya Kudumu ya Masuala ya UKIMWI kuwa makadirio ya Bunge wakati wa Mkutano
wa Sita wa Bunge linaloendelea Mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akibadilishana mawazo na baadhi ya wabunge nje ya Ukumbi wa Bunge mara
baada ya kuhairishwa kwa Mkutano wa Sita wa Bunge Januari 6, 2017
Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira na Muungano
Mhe.January Makamba wakipongezana mara baada ya kupitishwa kwa Taarifa
ya Kamati ya Kudumu ya Ukimwi na Dawa za Kulevya Januari 6, 2017.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)
No comments