SENDEKA ATINGA SINGIDA KUPITIA HANANG
Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi
ya viongozi alipowasii Ofisi ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara
akiwa njioni kwenda Singida leo
Katibu
wa CCM wilaya ya Hanang, Kajoro Vyohoroka akimpeleka Ofisini, Msemaji
wa CCM Ole Sendeka baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya
Hanang leo akiwa njiani kwenda Singida
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi
ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya
hiyo, Kajoro Vyohoroka
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni katika Ofisi
ya CCM wilaya ya Hanang mkoani Manyara. Kulia ni Katibu wa CCM wilaya
hiyo, Kajoro Vyohoroka na kushoto ni Mjumbe wa NEC wa Kigoma, na Ofisa
katika Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda
Msemaji
wa CCM, Ole Sendeka akisalimiana kwa bashasha na Mwenyekiti wa
Halmashauri ya wilaya ya Manyara, alipowasili kwenye ofisi ya CCM ya
wilaya hiyo leo
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na viongozi
wa CCM wa Wilaya ya Hanang, alipofika kwenye ofisi hiyo akiwa njiani
kwenda Singida leo
Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisalimiana na baadhi
ya viongozi wa CCM alipowasili leo, Ofisi ya CCM mkoa wa Singia akiwa
katika ziara ya kikazi
Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akiongozwa na
Mwenyekiti mpya wa CCM mkoa wa Singida, Martha Mlata kwenda ofisini
kwake, katika Ofisi ya CCM mkoa huo leo
Msemaji
Mkuu wa CCM, na Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akisaini kaitabu
cha wageni katika Ofisi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida (Martha
Mlata (wapili kulia), alipowasili kwenye ofisi hiyo leo akiwa katika
ziara ya kikazi. Watatu kulia ni Katibu wa CCM mkoa Mary Maziku na
kushoto ni Mjumbe wa NEC Kigoma na Ofisa katika Idara ya Itikadi na
Uenezi Makao Makuu ya CCM Kilumbe Ng’enda.
Msemaji wa CCM na Mjumbe wa NEC, Ole Sendeka akitoka katika Ofisi ya CCM mkoa wa Singida
Msemaji
wa CCM na Mjumbe wa NEC Christopher Ole Sendeka akisalimiana na
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Singida Vijijini, Narumba Hanje kwenye
ukumbi wa Chuo Cha Maendeleo ya Jamii (FDC) mjini Singida alipowasili
kuzungumza na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM kutoka wilaya za Singida
Mjini na singida Vijijini leo
Baadhi ya wajumbe wakiwa ukumbini
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Singida Martha Mlata akiteta jambo na Mjumbe wa NEC na
Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Kilumbe Ng’enda
wakati wa kikao hicho
Katibu wa CCM mkoa wa Singida, Mary Maziku akitoa maneno ya utangulizi kwenye kikao hicho
Msemaji
Mkuu wa CCM Christophe Ole Sendeka akiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Singida, Martha Mlata wakati wa kikao hicho
Mjumbe
wa NEC wa Kigoma na Ofsa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi,
Kilumbe Ng’enda akitoa hotuba ya utangulizi kabla ya Ole Sendeka
kuzungumza katika kikao hicho
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Singda Martha Mlata akimkaribisha kuzungumza, Msemaji wa
CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka wakati wa kikao hicho na
wajumbe wa Halmashauri KUU ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida
Vijijini leo.
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini
leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT
mkoa wa Singida Diana Chilolo
Msemaji
wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka akizungumza na wajumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya za Singida Mjini na Singida Vijijini
leo katika ukumbi wa Maendeleo mjini Singida. Kulia ni Mwenyekiti wa UWT
mkoa wa Singida Diana Chilolo Picha zote na Bashir Nkoromo).
No comments