AZAM FC YAMALIZA VIPORO KWA KUITWANGA MTIBWA SUGAR BAO 1-0 KWAO MANUNGU
Azam FC imekula vizuri kiporo chake kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa bao 1-0.
Licha
ya Mtibwa Sugar kuwa nyumbani Manungu, Turiani lakinilishindwa kuizuia
Azam FC iliyopata bao pekee kupitia kwa nahodha wake John Bocco.
Ushindi wa leo unaofanya Azam FC kufikisha pointi 55 baada ya kucheza mechi 24 huku Simba akiendelea kuwa kileleni.
Tayari Azam imekamilisha viporo vyake baada ya mchezo wa leo na imekuwa katika nafasi nzuri baada ya kuibuka na ushindi. (salehjembe.com)
No comments