RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA WA DRC JIJINI DAR ES SALAAM
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana, kufanya mazungumzo ya faragha na
kisha kuagana na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
DRC wakati Rais huyo aliposimama kwa muda katika Uwanja wa Ndege wa
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam leo mchana na
kisha kurejea Kongo.(picha na Freddy Maro)
No comments