Rais Kikwete aagwa na vyombo vya ulinzi na usalama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein alipowasili katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam katika sherehe za kuagwa na Vikosi vya Ulinzi na Usalama
leo.
[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (wan
ne kushoto) akiwa na Viongozi wengine wakisimama kupokea salamu ya
heshma ya kwaride la Vikosi vya Ulinzi wakati wimbo wa Taifa ulipopigwa
katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika sherehe za
kuagwa rasmi leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akikagua gwaride rasmi la Vikosi vya Ulinzi wakiwa katika uwanja wa
Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kumuaga kwa kumaliza muda wake wa
Urais leo.
Askari wa Vikosi mbali mbali vya
Ulinzi wakiwa katika uwanja wa Taifa wa Uhuru Jijini Dar es Salaam
katika sherehe za kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete alipoagwa rasmi na
Vikosi hivyo leo,
No comments