MGOMBEA MWENZA WA UKAWA JUMA DUNI HAJI AFANYA KAMPENI MIKOA YA KUSINI
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa
amembeba motto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Kikundi cha Kwaya ya Tujikomboe kikitumbuiza wakati wa mkutano wa kamapeni uliofanyikakatika uwanja wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi.
Mgombea
mwenza wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma
Duni Haji akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja
wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi.
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiwa
amembeba mtoto, Mohamed Mchokonole wakati akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika
kwenye uwanja wa Mpilipili mkoani Lindi.
Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar Said
Issa Mohamed (kushoto) akimtambulisha mgombea mwenza wa Umoja wa Katiba
ya Wananchi (Ukawa), kupitia Chadema, Juma Duni Haji wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Maulidi Wilaya ya Nachingwea
mkoani Lindi.
No comments