MAMA SAMIA ACHANJA MBUNGA LEO CHAMWINO, KONGWA NA MPWAPWA MKOANI DODOMA KUSAKA KURA
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili
kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa Nzali,katika
jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za ngoma zikirindima, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
Shamrashamra za mapokezi zilitia fora, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akiwasili kufaya mkutano wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Mmoja
wa wajumbewa Kamati ya Kampeni za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya
CCM, Ummy Mwalimu, akihamasisisha, wakati, Mgombea huyo Mwenza wa Urais
kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufaya mkutano
wakampeni leo, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma.
Kina Mama wa Kigogo wakiwa wamejipamba sura zao kumpokea Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipowasili kufaya mkutano wakampeni, katika eneo la Chinolwa
Nzali,katika jimbo la Kongwa mkoani Dodoma leo.
No comments