DR. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA MASASI
Mgombea
wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe
Magufuli akbiaihutu wakazi wa mji wa Masasi kwenye mkutano wa kampeni
uliofanyika kwenye uwanja wa Bomani mjini Masasi ambapo amewaomba
kumpigia kura za ndiyo ifikapo Oktoba 25 mwaka huu ili aweze kuwatumikia
Watanzania na kuleta maendeleo na mabadiliko Bora na siyo bora
mabadiliko.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo hutubia wakazi Masasi.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia
CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Matemanga
wilayani Tunduru ambapo aliwaambia kama atapewa ridhaa na wananchi hiyo
ya kuiongoza Tanzania basi atahakikisha utendaji, ufanisi katika kuleta
maendeleo nchini unaongezeka ikiwa pamoja na kuhakikisha kila mwananchi
anapata haki ya msingi.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimtambulisha Dk.
Emmanuel Nchimbi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Namtumbo.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya
Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia
wakazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara wakati akiwa njiani kuelekea Masasi kwa
ajili ya kampeni.
Lazima tumuona Magufuli hapa.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya
Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akimsikiliza Mwenyekiti
wa CCM mkoani Mtwara Ndugu Mohamed Sinan wakati alipokuwa akimkaribisha
ili kuzungumza na wakazi wa Nanyumbu mkoani Mtwara.
Wananchi wa kijiji cha Michiga wakimsikiliza Dr. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao kijijini hapo.
Wakazi wa Mangaka wakimsikiliza Dr. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia akiwa njiani kuelekea Masasi.
Dr. Magufuli akiwahutubia Wakazi wa Mangaka
Baadhi ya wazee wa kijiji cha Majimaji wakimsikiliza Dr. Magufuli.
Akina mama hawa wakionyesha furaha yao mara baada ya kumuona Mgombea Urais Kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli.
Dr John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa kijiji cha Majimaji wilayani Nanyumbu.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya
Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akipokea kadi za
waliokuwa wanachama wa CUF mara baada ya kujiunga na CCM kwenye mkutano
wa kampeni mjini Tunduru.
Baadhi ya vijana waliojiunga na
CCM mjini Tunduru baada ya kurejesha kadi zao kwa Mgombea wa Urais wa
jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli
wakipiga picha ya pamoja.
Wana CCM wakifurahia hotuba
ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk.
John Pombe Magufuli wakati akihutubia mjini Tunduru.
Wakazi wa mji wa Tunduru wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akihutbia wananchi wa mji wa Tunduru.
Wana CCM wakifurahia hotuba ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mama huyu akimbeba mtoto wake kuhakikisha mtoto wake naye anamuona Dr. John Pombe Magufuli.
Vijana wa kata ya Matemanga
wakifuatilia hotuba ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya
Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais wa jamhuri ya
Muungana ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe akiwanadi wagombea
Ubunge na Udiwania Katika mji wa Namtumbo.
Baadhi ya wana CCM wakiwa
wamevalia sare zao zenye picha ya Mgombea wa Urais wa jamhuri ya
Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Wana CCM ni Shangwe tu kwa Mgombea wa Urais wa jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
No comments