Zuma kuhudhuria droo ya AFCON
DURBAN, Afrika Kusini
RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma,
atahudhuria upangaji wa ratiba wa michuano Mataifa ya Afrika, itakayofanyika
Jumatano.
Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi
ya michuano hiyo, Mwelo Nonkonyane, alisema Zuma, atakuwa mgeni wa heshima wa
shughuli hiyo ya upangaji wa ratiba wa michuano hiyo.
No comments