TAMASHA LA FIESTA KATIKA PICHA
Msanii nyota wa Hip Hop kutoka Marekani, Rick Ross akitumbuiza katika
tamasha la Fiesta katika viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa
wiki. picha zote kwa niaba ya www.francisdande.blogspot.com
Askari wa Kikosi cha kutuliza Ghasia (FFU) akimdhibiti mmoja wa
mashabiki waliohudhuria tamasha la fiesta katika viwanja vya Leaders Club
jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Msanii nyota wa Hip Hop kutoka Marekani, Rick Ross
Ulinzi ulikuwa mkali
Msanii nyota wa Hip Hop kutoka Marekani, Rick Ross
Msanii wa Tanzania, Mwasiti Almasi (kulia)
No comments