Header Ads

ad

Breaking News

Redd's Miss Photo Genic alivyopatikana

Warembo walioingi kwenye hatua ya tano Bora ya Redd's Miss Photo Genic. Kutoka kulia ni Magdalena Roy Kanda ya Ilala), Babylove Kalala Kanda ya Ziwa, Lightness Michael wa Kanda ya Kati), Lucy Stephano kutoka Kanda ya Kaskazini na Diana Hussein wa Kanda ya Kinondoni. Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Limited
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency na Muandaani Mkuu wa Mashindano ya Miss Tanzanzia,Hashim Lundega akitangaza Mshindi wa Redd's Miss Photo Genic ambaye ni Mshiriki kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini,Lucy Stephano (katikati).hafla ya shindano hilo ilifanyika jana usiku kwenye Ukumbi wa hoteli ya E'Manyata Lodge, Monduli jijini Arusha.
Mshiriki namba 4 ( a pili kushoto), kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini,Lucy Stephano ndie Redd's Miss Photo Genic 2012, akipongezwa na wenzake.

Mshiriki namba 4,kutoka Manyara - Kanda ya Kaskazini,Lucy Stephano ndie Redd's Miss Photo Genic 2012. Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Limited


No comments