RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA DIASPORA JIJINI EDMONTON, CANADA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili
katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada,
kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania Diaspora
Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 201
PICHA ZOTE NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton, Canada,
wakati wa kukufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo
(Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa jioni ya Oktoba 5, 2012
Sehemu ya waliohudhuria mkutano huo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia zawadi
ya kinyago kilichochongwa kwa jiwe toka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya
Watanzania waishio Edmonton, Dkt Hassan Katalambula na MC wa shughuli
hiyo Dkt Sophie Yohani katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land
jijini Edmonton, Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania
waishio nchini humo (Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wasanii
waalikwa kutoka Tanzania Joseph Haule 'Profesa J' (kushoto) na Mzee
Yusuf katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton,
Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania
Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na
kamati ya maandalizi katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini
Edmonton, Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo
(Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii
(NSSF) katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton,
Canada, baada ya kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo
(Tanzania Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
ais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baadhi ya
Watanzania katika ukumbi wa mikutano wa Fantasy Land jijini Edmonton,
Canada, kufungua mkutano wa Watanzania waishio nchini humo (Tanzania
Diaspora Conference) Ijumaa Oktoba 5, 2012
No comments