Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mohammed Gharib
Bilal na mkewe Mama Zakia Bilal wakifuatilia matukio
mbalimbali wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa
Uganda kwenye Uwanja wa Kololo, jijini Kampala jana. Wengine kutoka
kushoto ni Rais wa Somalia Hassan Shekhe Mahamoud na Makamu Rais wa
Sudan, Bwana Haji Adam Yusufu.
|
No comments