Rais
wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga atakutana na
waandishi wa habari leo (Septemba 27 mwaka huu) saa 6 kamili mchana. Mkutano
huo utafanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa TFF.
TENGA KUKUTANA NA WAANDISHI LEO SAA 6
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
9:39 AM
Rating: 5
No comments