Majigambo ya Karama, Cheka mwisho kesho
Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Karama Nyilawila litakalofanyika Jumamosi katika ukumbi wa PTA, Sabasaba Dar es Salaam. |
Bondia
Karama Nyilawila akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Fransic
Cheka litakalofanyika Jumamosi katika ukumbi wa PTA, Sabasaba Dar es
Salaam. Picha na www.superdboxiongcoach.blogspot.com |
No comments