WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwapongeza Waziri wa Nishati na madini, Profesa
Sospeter Muhongo (wapili kushoto),NaibuWaziri wa Wazara hiyo, Stephen
Masele (wapili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Eliachim Maswi
baada ya Bunge kupitisha bajeti ya Wizara hiyo Mjini Dodoma Julai
28,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)
No comments