Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiteta na wabunge Dodoma
WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Babati, Kisyeri
Chambiri kwenye jengo la utawala la Buge Mjini Dodoma, Julai
30,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kuteuliwa, James
Mbatia (katikati) na Mbunge wa Kasulu Mjini, Moses Machali (kulia)
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Julai 30, 2012.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments