AIRTEL WAIPIGA JEKI
BIN ZUBEIRY…
Meneja Mahusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi
Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa BIN ZUBEIRY blog, Mahmoud Zubeiry
modem ya Airtel, yenye kifurushi kikubwa cha intaneti yenye 3.75G, intaneti
yenye kasi ya ajabu ya Airtel. Kuanzia sasa, gharama za intaneti za BIN ZUBEIRY Blog kwa
vifurushi hivyo kwa muda wa miezi sita kwa kuanzia.
|
No comments