RAIS KIKWETE ATUA ZANZIBAR KUFARIJI WALIOPATWA NA AJALI YA MELI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembelea Uwanja wa Maisara, Zanzibar, ambako ndiko miili ya marehemu
huletwa kwa utambuzi baada ya kuokolewa kwenye eneo la ajali leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mmoja wa walionusurika katika
ajali ya meli jana huko Chumbwe wakati Rais na Mama Salma Kikwete
walipowatembelea kuwafariji na kuwapa pole katika hospitali kuu ya Mnazi
Mmoja leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakiangalia maiti za
ajali ya meli leo iliyotokea huko huko Chumbwe wakati jana kilomita chache kufika Zanzibar

No comments