Rais Kikwete akutana na Dkt.Asha Rose Migiro
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi(Picha na Freddy Maro) |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo |
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akumuaga aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo |
No comments