RAIS KIKWETE AFUTURISHA MKOANI LINDI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika
swala ya Magharibi na waumini wengine wa Mkoa wa Lindi aliowakaribisha
katika futari Ikulu ndogo ya Mkoani Lindi leo Julai 30, 2012
Mkuu wa Mkoa a Lindi Mhe Ludovick Mwananzila akishiriki katika futari hiyo pamoja na waalikwa wengine
Kadhi wa Mkoa wa Lindi ambaye pia ni Shekhe Mkuu wa Mkoa Mohamed Saidi Mushangani akitoa neno la shukurani baada ya futari
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na waalikwa walioshiriki katika futari hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kufuturu
No comments