Header Ads

ad

Breaking News

Meli ya seagul yazama Zanzibar

Kuna habari za sasa hivi meli moja ya abiria ambayo inasadikiwa ilikuwa  imebeba abria zaidi ya 280 ikitoka  Dar es salaam kwenda Zanzibar  imezama eneo la Chumbe kabla haijafika Zanzibar,muda si mrefu, taarifa zaidi zinasema vikosi vya uokoaji tayari viko katika eneo la tukio vikifanya kazi ya kuokoa watu na mali hata hivyo haijafahamika kama ajali hiyo imetokana na kitu gani lakini inadaiwa kuwa ilikuwa imezidisha abiria
Hivi sasa watu ni wengi wakiwa bandarini kujionea hali ilivyo.
Kwa Habari za Kina tutazidi kuwajulisha baadae. Kwa mujibu wa blog ya www.fullshangwe.blospot.com

No comments