Matukio ya picha bungeni Julai 30 mkoani Dodoma
Baadhi
ya wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbwanga mkoani Dodoma
wakisubiri kuingia katika ukumbi wa Bunge, 30, Julai 2012. (Picha
na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)
Baadhi ya wadau wa masuala ya Ayfa wakielekea ndani
ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Julai 30.2012 kusikiliza Makadirio
ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa mwaka
wa fedha 2012-2013 iliyowakilishwa na Waziri waa Ustawi wa Jamii Dkt,
Hussein Mwinyi, ((Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO).
Waziri
wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Hussein Mwinyi (kushoto) pamoja na Naibu
wake Dkt, Seif Rashid(kulia) wakipitia hotuba yao ya Makadirio
ya Mapato na Matumiz i ya Wizara yao kwa mwaka 2012-2013 iliyowasilishwa
leo Bungeni Dodoma . Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments