MATUKIO KATIKA PICHA AJALI YA MELZI ZANZIBAR LEIO
-Majeruhi wakipatiwa Mablangeti kwa ajili ya kujihifadhi baada ya kuokolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250. |
Majeruhi alieokolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
|
Wananchi
wakiwa wamekusanyika eneo la Bandari mjini Zanzibar kuona ndugu zao
waliookolewa wakiwa hai na waliofariki katika ajali hiyo[PICHA ZOTE NA RAMADHAN OTHMAN IKULU] |
Askari wa Vikosi mbalimbali wakiwa katika kazi ya Uokozi kwa Abiria
waliokuwa katika Meli ya Star Gate ambayo iliozama katika ikiwa imebeba
abiria 250 huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar.
|
Abiria waliyookolewa kutoka katika meli iliozama ya Star Gate katika bahari ya Chumbe Zanzibar.PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR |
Raia wa kigeni waliookolewa katika meli ya Star Gate iliozama huko katika bahari ya Chumbe Zanzibar na ikiwa na abiria 250.
|
No comments