Lisa akwea 'pipa' kushiriki Miss World
Redds Miss World Tanzania 2012, Lissa Jenson.
Redds
Miss World Tanzania 2012, Lissa Jenson (katikati) akiwa na bendera ya
Taifa tayari kuelekea nchini China kwenye fainali ya Miss World kulia ni
Mkurugenzi wa Lino Agency Hashimu Lundenga.Fainali ya Dunia Itafanyika
July28,2012 nchini China (Picha zote kwa hisani ya Intellectuals Communications Ltd
No comments