Header Ads

ad

Breaking News

ALEX MSAMA ALIPOTEMBELEA BUNGENI LEO

Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Bw. Alex Msama wakati alipotembelea bungeni leo mjini Dodoma na kuongea na  Mawaziri wabunge na viongozi mbalimbali wanaohudhuria vikao vya Bunge mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makala akizungumza na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini Dodoma leo.
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Amos Makala akifurahia jambo na Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama mjini Dodoma leo.
Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Mh. Aden Rage akizungumza na Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu katikati ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo akizungumza na Mtangazaji wa TBC Shaban Kisu kulia  ni Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama. picha na www.fullshangwe.blogspot.com

No comments