Tamasha la Pasaka lafunika Uwanja wa Taifa Dar
Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mukubwa akiingia katika uwanja wa Taifa mchana huu tayari kwa kukonga nyoyo za mashabiki wa nyimbo za ijili katika tamasha kubwa la Pasaka jiji ni Dar es salaam |
Mwimbaji Upendo Kirahiro akifanya vitu vyake jukwaani |
Mwanamuziki Rebecca Malope kutoka nchini Afrika Kusini akielekeza jambo katika tamasha hilo kabla ya kupanda jukwaani leo hii kwenye uwanja wa Taifa. |
Waimbaji wa muziki wa injili wakiingia uwanjani kutoka kulia ni Christina Shusho, Upendo Kirahiro na Upendo Nkone.
Wanamuziki Rose Muhando akiingia uwanjani huku akiwa ameongozana na waimbaji kutoka nchini Kenya Tutuma kushoto na Emi Kosgei..
Elistone Angai naye yumo katika tamasha hilo leo hii.
Kundi lingine likitumbuiza katika tamasha hilo.
Mashabiki lukuki wakiwa uwanjani
Mashabiki wakiimba na kucheza kwa nguvu katika uwanja wa Taifa
Picha zote na www.fullshangwe.blogspot.com |
No comments