Header Ads

ad

Breaking News

Rais Kikwete ahani msiba wa Steven Kanumba

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa Picha namba j3 ni mdogo wake Kanumba.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mdogo wake na Marehemu Steven Kanumba.
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
 Rais Kikwete akiaga waombolezaji  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
 Rais Kikwete akiwafariji wafiwa  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na mwigizaji anayejulikana kama Mzee Chilo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwigizaji Dk. Cheni katikati ni Cloud n a Hapness Magese na John Momadi John Tall.
 Rais Jakaya akiagana na waombolezaji katika msiba wa Muigizaji Steven Kanumba.
 Rais Kikwete akiongea na wanahabari  nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 alikofika kuomboleza nao kifo hicho.

PICHA ZOTE NA FREDDY MARO WA IKULU

No comments