Mkurugenzi wa African Stars Entertainment Tanzania (ASET), Asha Baraka (kulia) na Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo, wakiteta jambo katika msiba wa mchezaji na mtunzi wa filamu nguli nchini, Steven Kanumba uliotokea usiku wa kuamkia leo.
Mkurugenzi wa ASET, Mkurugenzi Global Publishers wakijadili jambo
Reviewed by Majuto Omary na Frank Balile
on
11:54 AM
Rating: 5
No comments