Mambo ya tamasha Uwanja wa Taifa leo hii
Msanii wa muziki wa injili, Rose Muhando akiwapungia wananchi alipokuwa akiingia Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kutumbuiza katika Tamasha la Pasaka linaloendelea sasa.
Sehemu ya watu wakishuhudia Tamasha la Pasaka,
Msanii Tumain John akifanya vitu vyake katika tamasha la Pasaka
Mwalyambi kutoka Sumbawanga, akionesha minjonjo yake katika tamasha hili la kkata na shoka
Msanii wa Musziki wa Injili kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope (katikati), akiwa upande wa vyombo vya muziki kuweka mambo sawa muda mfupi kabla ya kupanda jukwaani.
Kundi la msanii John Lisu likitumbuiza
Ni furaha tele kwa kila mtu. PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA

No comments