Header Ads

ad

Breaking News

Majambozi ya Extra Bongo ndani ya Musoma, Mara

Aisha Mbegu (kulia) akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria.

Mnenguaji wa siku nyingi, Aisha Mbegu (Aisha Madinda), akicheza kwa staili ya pekee iliyowashangaza mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria.
Kiongozi wa wanenguaji wa bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela, akiwaonesha ukali wake wa kucheza na jukwaa mashabiki wa muziki wa dansi, wakati wa onesho la bendi hiyo lilolifanya kwenye ukumbi wa Magereza Musoma mkoani Mara. Extra Bongo ilifanya ziara katika mkoani humo hivi karibuni, tayari imerejea jijini Dar es Salaam.

No comments